Alicho kinunua diamondplatnam baada ya kuonana na AY

Headlines za wasanii au mastaa kuweka meno ya Gold kama style zitakuwa sio kitu kipya kwako mtu wangu, kutoka Bongoflevani tumeshawahi kuwaona baadhi ya wasanii wameweka meno ya Gold, Vanessa Mdee,Diamond Platnumz, na AY ni miongoni mwa mastaa kutoka bongoflevani walionekana wameweka meno ya Gold
AY amekutana na Ayo TV na nakuelezea idea yake ya kuanza kuvaa meno ya Gold aliipata wapi lakini pia ametuelezea maneno aliyoyaongea Diamond Platnumz baada ya kumuona amevaa meno ya Gold
Comments
Post a Comment