Drake atangaza kuachia ablum hii december 2016
Nafahamu kuna watu wangu ni wapenzi wa kufuatilia updates za wasanii wa nje ya nchi nikizungumzia mastaa kama Rihanna, Kanye West, Justin Bieber, Beyonce na wengineo wengi, pia katika list rappers bora wa Marekani uwezi kuacha kumtaja Drake ambae ameingia kwenye headline na album yake ya awali ya ‘Views’.
Good news kwa mashabiki wa RapperDrake wakae mkao wa kula baada ya Rapper huyu kutangaza kuachia album nyingine tena ifikapo December 2016 itakayobeba jina la‘More life’ na tayari ameshaachia nyimbo 4katika hii album leo Oct 24 2016.
Comments
Post a Comment